Pata job ya housegirl leo for free!
Tengeneza profile, employers waanze kukupigia simu!
Itakuwaje?
1. Tengeneza Profile
Jiandikishe, ukishamaliza upload picha zako na za ID.
2. Account Ikubaliwe
Tutaangalia kama zile details umeweka ziko sawa. Zikiwa sawa account itakubaliwa.
3. Pata kazi
Ma-boss watakuja walipe ili waone profile yako. Wale wamependezwa watakupigia simu mkubaliane.
Pata job ya housegirl leo, for free!
Tengeneza ProfileTumia Msichana.co.ke Ili ...
Malipo yote iwe yako
Msichana.co.ke kwa housegirl ni bure, hatutakuitisha pesa yoyote!
Kazi kwa wingi
Wasichana wazuri wanapata kazi kwa wingi. Kama boss amefurahia kazi yako, atawacha review mzuri
Lipisha kulingana na experience
Wakati unafanya kazi mzuri na boss wanafurahia, baada ya mda utaweza kuongezea kiwango cha malipo yako